Sumaku

Vanessa Mdee, Jux

Vee Money on the track yeah Shawty badder She got me high kama beat ya S2kizzy Nisipomuona sekunde nammiss Najiuliza amenipa ninii? Kila stori ninayopiga ye ndo mada Nangombana kabisa wakimdiss Na kuumia kwa moyo nahisi Najuliza amenipa niniii? Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Ananivuta vuta kama magneti Belong to you, belong to me beiby Ananivuta vuta kama magneti Duu na duu na duu na duu beiby Ananivuta vuta kama magneti Yeah yeah yeah Ananivuta vuta kama magneti I do, I do, I do, ooh yeah Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! Sumaku! Beiby please, Tell me once more what you like about the feeling? Honestly, I wanna show you am feeling you too Lemmi take you to a nice place Tuzime taa Nivute nikunase, utashangaa Nikupe vitu vyote, upate raha I’m caught up in you and am tempted to stay up Nipepee (oooh beiby) Nikikuona nazubaa (oooh beiby) Ooh beiby (oooh beiby) Ninapandwa na kichaa (oooh beiby) Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Ananivuta vuta kama magneti You belong to me, I belong to you beiby Ananivuta vuta kama magneti I do, I do, I do beiby Ananivuta vuta kama magneti You belong to me, I belong to you beiby Ananivuta vuta kama magneti I do, I do, I do for you Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! Anatuvua Kila akitupa nyavu (anachukua) Aah visenti vyetu vyote (anatuvua) Aah mama kila akitupa nyavu (anachukua) Hatutoki eeh (anatuvua) Aah-ah akitupa nyavu (anachukua) Yaani visenti vyetu vyote (anatuvua) Mama mama ma... (Anachukua) Yeee ye ye ye ye

Written by: Lyrics © Sentric MusicLyrics Licensed & Provided by LyricFind

Create your own version of your favorite music.

Sing now

Kanto is available on:

google-playapp-storehuawei-store