Salome

Diamond Platnumz

Wasafi Kioo akidanganyi mama Umejipodoa umepodoka Mwendo na shepu vyote mwanana Mimi suruari yanidondoka Tukimbizane nini salome wangu? Iyo michezo ya jogoo Mbona watizama chini salome wangu Ukimuona jongoo Inama kidogo shika magoti Nimesimama kama ngongoti Mtoto jojo sio roboti Chumbani bingili bingili sambasoti Unanitekenyaga ukinyonga salome Unanitekenyaga ukinyonga Unatikenyaga ukinyonga kweli Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha! Hoera makulu vane, hoera ngambe Hoera na Zari, hoera ngambe Utamu kolea aprokoto Ting'ari ting'ari ndani kwa moto Nitamnyongea msokoto Niteme sumu kali kama kobokoo Eeeh Mapenzi yananipa shida Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba Tiba bwana usije baby kanicharanga Kanichambua moyo kama karanga Mie baby kwenye msambwanda, huwa sienda Ngenge ni nganganga. Unanitekenyaga ukinyonga salome Unanitekenyaga ukinyonga Unatikenyaga ukinyonga kweli Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha! Hoera makulu vane, hoera ngambe Hoera na Zari, hoera ngambe Mie mwenzako nyang'anyang'a Mie binzari we ndo nyanya Baby kwangwaru Isimamie kama kangaroo Ibane kangwaru Babu Juma mpige kwakwaru Kwakwaru kwakwa Chambua kama karanga sasa Chambua kama karanga Ichambue kama karanga Salome Chambua kama karanga I say washa washa moto washa washa Songa songa ugali songa songa Mpaka chini mpaka chini Wenye wivu wajinyonge leo Wanye wivu wajiinyonge Wenye wivu wajinyonge Salome Wenye wivu wajinyonge Wenye wivu wajinyonge kweli Wenye wivu wajinyonge Wenye wivu wajinyonge Salome Wenye wivu wajinyonge Wanakodoa kodo wanakodoa (macho kodo) Wanakodoa kodo wanakodoa (wale kodo) Wanakodoa kodo wanakodoa (ukinyonga) Wanakodoa kodo wanakodoa (ukisonga) Wanakodoa kodo wanakodoa

Written by: Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Create your own version of your favorite music.

Sing now

Kanto is available on:

google-playapp-storehuawei-store