Gongo La Mboto

Diamond Platnumz, Mrisho Mpoto

Poleni wale usiku hatujalala Wale mabomu yamewapa madhara Yalosababisha maafa viro hasara Poleni sana ndugu zangu Mpaka sasa hawana pakulala Watoto bado njaa hawajala Tuzidishe uda na maombi nyingi sala Poleni sana ndugu zangu Poleni wale usiku hatujalala (oh oh) Wale mabomu yamewapa madhara (ah ah) Yalosababisha maafa viro hasara Poleni sana ndugu zangu (Gongo la Mboto) Mpaka sasa hawana pakulala (eh eh) Watoto bado njaa hawajala (ah ah) Tuzidishe uda na maombi nyingi sala Poleni sana ndugu zangu Eh, Mola ona wanao tunakwenda Eh, tunakwenda nakwenda, nakwenda, nakwenda Kila siku matatizo abba tushike mikono Walosema idadi ya watu kadhaa Eti wengine maje raha Ona wegine wamejifungua masikini moja bado Shida za maisha si usiku si mchana Na majanga yanazidi twandama Huku majukumu yame Tanzania, oh mama Ah ah ah kuhusu maidha si usinu si mchana Majanga yanzidi twandama Huku majukumu yame Tanzania, oh mama iye Poleni wale usiku hatujalala (Hatujalala) Wale mabomu yamewapa madhara (Mmh madhara) Yalosababisha maafa viro hasara Poleni sana ndugu zangu (Eiih, Gongo la Mboto) Mpaka sasa hawana pakulala (Oh, pakulala) Watoto bado njaa hawajala (Hawajala) Tuzidishe uda na maombi nyingi sala (Nyingi sala) poleni sana ndugu sana Enyi waTanzania wazalendo wa nchii hii Akuambiaye usikombe mboga siku Zote anataka ushibe Nani anasema usiku mmoja hauozeshi nyama Huyo tumegeukie na kumtazame mara Mbili maana ametudanganya Pole nchi yangu, pole Tanzania Poleni sana Gongo La Mboto Ingekua hadithi ningesema 'paukwa' Nikaanza kuwaongopea Ningekua mwana siasa ningesimama jukwaani Nakuwaambia nichagueni mimi Lakini hizi ni roho za watu haya ni maisha Poleni sana Gongo La Mboto Ndugu zangu waTanzania Apasuaye nguo lazima awe fundi wa kushona Kilichotokea Mbagala siku ile Watu walizani cinema kule mikoani Lakini kule Gongo La Mboto Hakuna aliyekumbuka viatu wala Kumshika mwanae Hakuna aliyekumbuka mume wala kumbusu mkewe Najua Tanzania tunavuma kwa ukarimu na Upole japokua ni masikini Lakini uisikia 'puumuuu' ujue kimeshatokew Gongo La Mboto Tudhihirishe ukarimu wetu na kuitolea Gongo La Mboto mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Gongo La Mboto (ibariki) (Pole) poleni wale usiku hatujalala (Hatujalala) wale mabomu yamewapa madhara (Madhara) yalosababisha maafa viro hasara Poleni sana ndugu zangu (Ndugu zangu) Mpaka sasa hawana pakulala (Pakulala) Watoto bado njaa hawajala (Oh, hawajala) Tuzidishe uda na maombi nyingi sala Poleni sana ndugu zangu Yo, Maneke afikishe na pole easy Na zoafikia kwa nidha kabisa outcomes Mwambie hilo piti siwele Sasa tudangya mbele usisahau wana Big Boss Kasele It's Diamond Platnumz, baby (President) Wana niti Raiisi wa Wasafi (President, President) watanashati I'm logging out

Written by: Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Create your own version of your favorite music.

Sing now

Kanto is available on:

google-playapp-storehuawei-store