Mbagala

Diamond Platnumz

Mmh Busara na upole Na hekima niliyorithi kutoka kwa mama yangu, Mama Vyote hukuvijali, huk'ona silingani kabisa kuwa na wewe Kwa kuti na mkole, ukakata kabisa na shina la penzi langu mama Eti kisa maali, ukaona bora uniache mimi na uolewe Ile siku shekhe namuona anachoma ubani Unavishwa pete unakua mke wa fulani N'liumia sanaa, sanaa Ile siku shekhe namuona anachoma ubani Unavishwa pete unakua mke wa fulani Niliumia sanaa, niliumia sanaa, sanaa Tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalalaaa Tatizo kwetu mbagala, uk'ona mapenzi siwezi Tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalalaaa Tatizo kwetu mbagala, uk'ona mapenzi siwezi Ungejua jinsi gani Machozi n'livyolia kwa uchungu wa penzi langu na Mwenzio jinsi gani, vile nimeumia moyoni Hata kupendwa sitamani Utamu wa mapenzi mwenzako umekula kwangu ma Mwenzio sitamaani, hata raha tena mi sioni Naskia hivi sasa una mtoto anaitwa mamu Vile akinuna mpaka tabasamu M'mefanana sana.a, sana.a Mi mwenzako tena mapenzi mi sina hamu Tena nna mpango wa kuhama Dar Es Salaam Nataka niende mba.ali, niepuke vita na walimwengu Mi mwenzenu siwezi Tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalalaaa Tatizo kwetu mbagala, uk'ona mapenzi siwezi Tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalalaaa Tatizo kwetu mbagala, uk'ona mapenzi siwezi Mbagala, mbagala, mbagala, mbagala Uk'ona mapenzi siwezi Mbagala (mbagala), mbagala (mbagala), mbagala (mbagala), mbagala Uk'ona mapenzi siwezi Tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalalaaa Tatizo kwetu mbagala, uk'ona mapenzi siwezi Tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalalaaa Tatizo kwetu mbagala, uk'ona mapenzi siwezi I'm back, ladies, I'm back Bob Junior Mr. Chocolate Flava Yo, I'm back, Diamond, I'm back

Written by: Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Create your own version of your favorite music.

Sing now

Kanto is available on:

google-playapp-storehuawei-store