Soma Kijana

Sauti Sol

Soma soma soma Kijana Masiku zazidi badilika Kijana Soma somasoma Kijana Masiku zazidi badilika Kijana Wazuri wazidi kuzaliwa Na dunia Nayo yazidi haribika Kijana Wazuri wazidi kuzaliwa Na dunia Nayo yazidi haribika Kijana Maisha ya TV Tutaishi sisi Wengi wanapotea Wengi wakata tamaa Twachuna riba vijana Juu ya vile tutang'aa Ajuaye Rabana Ndiye atuongoza Kijana Masiku zazidi badilika Kijana Soma somasoma Kijana Masiku zazidi badilika Kijana Wazuri wazidi kuzaliwa Na dunia Nayo yazidi haribika Kijana Wazuri wazidi kuzaliwa Na dunia Nayo yazidi haribika Kijana Soma soma soma kijana Masiku zazidi badilika Soma soma soma kijana Masiku zazidi badilika Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia Nayo yazidi haribika Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia Nayo yazidi haribika Soma Soma soma soma kijana Masiku zazidi badilika Soma soma soma kijana Masiku zazidi badilika Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia Nayo yazidi haribika Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia Nayo yazidi haribika Soma… Soma ah Soma ah Soma ah Soma ah Soma ah Soma ah Soma ah Soma ah Soma ah Soma ah iih Iiiih

Written by: Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Create your own version of your favorite music.

Sing now

Kanto is available on:

google-playapp-storehuawei-store