Iyena

Diamond Platnumz, Rayvanny

Ah Leo Chereko Chereko Mwanenu nimekuwa Zile kuringa mideko itapungua Ahsante mama ulinifunza nkajua Baba kasema kuomba mwiko Raha ya chumvi kununua Tena si kwa nazi Si hirizi za waganga Kwa baraka za baba na mama Tu na dua Waambie paparazi Pingamizi wenye viranga Waliosema hayawi hayawi yamekuwa Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Kwaheri tutaonana Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Ntawakumbuka sana Ooh Ndoa baraka Ukipata ushukuru Maana wanayoililia ni wengi sana Kwetu talaka Kuitoa ni kufuru Nimefunzwa vumilia Niushinde ujana Ili kesho mahususi Kusudi wasinong'one Embu nichumu niringe washushuke Na hii pete ya harusi Nakuvisha waone Wakale sumu wavimbe wapasuke Ati nashika nanga Nteke nsichomoke ndani Anameremeta Futa namba wablock vimada wa zamani Anameremeta Sio vijembe vya kanga waziwazi mambo hadharani Anameremeta Waliopanga mwenye nyumba kaja ndani Anameremeta Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Kwaheri tutaonana oh kwaheri baba mama Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Ntawakumbuka sana Imefika tamati Tulisubiri kitambo Leo samaki Kanasa kwenye chambo Pongezi kwa kamati Yanavutia mapambo Napata picha safi Litanikoma bundle Mwanamke usafi Gaga kulisugua Mume akirudi sharti Viatu kumvua Kitandani marashi Massage kumchua Kisha anza sayansi Viuno kutengua Mambo ya kuzima taa Si mahaba ni kuwanga Washa japo ka mshumaa Mumeo aone shanga Makeup kinanda Kaka suit kama mbunge Anameremeta Mulo changa muda kujipooza na punje Anameremeta Momo ndani Shivo amekuja na Fumbwe Anameremeta Kula chanda ukishiba ruksa kafunge Anameremeta Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Kwaheri tutaonana eh kwaheri baba mama Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Iyena Ntawakumbuka sana Saa nataka kusasambua Sasambu Me nasasambua Sasambu Aby Dad nasasambua mimi Sasambu Sasambua Tuone Mguu moja juu Sasambu Usishushe chini Sasambu Cheza jitazame Sasambu Sasambua Tuone Aisha kimobitel Sasambu Nipe za baloteli Sasambu Nyonga kibaiskeli Sasambu Sasambua Tuone Akaa kama unashika ukuta Sasambu Ifanye unashusha Sasambu Taratibu zungusha Sasambu Sasambua Tuone Sasambu Sasambu Sasambu Sasambua Tuone Kama unawasha bajaji Sasambu Imwagie na maji Sasambu Tuwakomeshe vizazi Sasambu Sasambua Tuone

Written by: NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK, RAYMOND SHABAN MWAKYUSALyrics © Universal Music Publishing Group, Sentric MusicLyrics Licensed & Provided by LyricFind

Create your own version of your favorite music.

Sing now

Kanto is available on:

google-playapp-storehuawei-store